Thursday, August 24, 2017

BREAKING NEWS: SOMA KINACHOENDELEA MITANDAONI KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ, ALI KIBA, OMMY DIMPOZ

Habari za muda huu wapenzi wa Blog hii, leo nimeamua kuwawekea Mwazno mpaka mwisho wa huu Mkasa unaoendelea Kutrend Mitaoni kuhusu Mastar wetu wa hapa Bongo. Nikiwazungumzia @diamondplatnumz, @officialalikiba, @ommydimpoz, @naytrueboy, @mubenga
Ufuatao ndiyo mkasa halisi kuanza chanzo mpaka ilipofikia

DIAMOND PLATNUMZ ALIIMBA HII VERSE KWENYE WIMBO
WA FID Q REMIX.
Nilivyosikia beat tu, nikatamani nifanye verse
Nikamcheck Ngosha, akanambia simba mbona fresh
Upesi upesi nikaandika ni-murder kesi
Na sasa ngoma kitaani imenuka kama kinyesi
Am still young kabla sijaitwa Chibu Denga
Enzi hizo naitwa domo
Eti siku hizi lips denda (fresh)
Baba Tiffa ama niite baba Nilan
Nasikia naitwa baba Abdul eeh
Kuna mambo mtaani (fresh)
Mzuka ukipanda ukate viuno kama Vanga
Kwa beat ya Kubanda inavyobakwa na muuza karanga (fresh)
Ukinichukia sikosi hela hivyo kwangu sio kesi
Kunicompare na Cinderela haiwezi kuwa fresh
Simbaa toka mbuga ya Tandale naona swala wanaforce tuwe salesale
Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepekale
Si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale.




ALI KIBA


OMMY DIMPOZ

BARUA YA WAZI KWA BINTI YANGU MALKIA WA NGUVU

Salam zako nimezipata mwanangu Hivi kweli ww wa kukosa Adabu na kuamua kunichamba mimi Baba yako? Sasa kosa langu mimi nini??????? Kwani kuna Ubaya kumtandikia Kitanda Baby wako King?
#UnanioneaKwaKuaSijuiKurap??
#SijuiNaMimiNimkatae????
#KamaYeyeAlivyomkataaWaMobeto
#YaniUnamkataaMjukuuWangu????
#UnakubaliKuleaWatotoWa5SioWako
#UmerogwaWWSioBureMwanangu
#NilikuwaNajuaNimezaaSIMBA
#KumbeNimezaaKIMBA
#DavidoNaeAnalalamiKuhusuENEKA
#UmeletaJanjaJanjaKwenyeFallOnU
#NnaedhalilikaMimiBabaYaKo????
#UtakujaKuniuaKwaPreshaJomoniiii??
#HayaNendaKatungeVesiNyingine??
#RahaYaVitaUsichagueSilaha
#BABAMALKIA


MUBENGA

 Omary mdogo wangu maandiko yanasema waheshimu wazazi upate heri na Miaka mingi duniani na mzazi sio mpaka akuzae ata mzazi wa mwenzio pia ni mzazi wako why unamuingiza mama naseb kwenye mambo yenu? Uko ni kukosa adabu wew si unajifanyaga innocent kwa watu kumbe una pretend? Wew sindio uliyeimba nani kama mama imekuwaje leo una watusi wa kina mama? Au ndio stress za Mziki? Watu wanataka video ya cheche na sio kutusi wazazi wa watu usituaribie muziki wetu kama game imekushinda please kaa pembeni pia naomba vyama vyenye dhamana ya muziki vichukue atua kali zidi ya matusi ya omary kwa mama wa diamond ili iwe fundisho kwa wengine ya kwangu ni hayo tu! #supportedbybangerzent #Mazoea link kwenye bio yangu
#TUWAHESHIMUWAZAZIWETU





NAY TRUE BOY

ombaneni, Loganeni Mpaka Muuwane... Napenda Kusikia Challenge Kwenye Game, Ila Tusiwaingize Wazazi Wetu???? Please. Tutukananeni Matusi Yote Wenyewe Kwa Wenyewe Ikibidi Piganeni Kabisaaaa Atakae Kufa Tutazika na Itakua Historia Kama Big na Pac. Ila Kuwaingiza Wazazi ni U #Maku
Sipo Upande Wowote, Si #Kiba #Mond Wala #Ommy. Endeleeni na Vita yenu Kama Wanawake Mmechukuliana Mabwana. Ila Swala la Wazazi Mnavuka Mipaka #Maku nyie.!



MWISHO.

Huo ndiyo mkasa mzima



Thursday, January 12, 2017

DOWNLOAD NEW AUDIO: YOUNG KILLER - SINAGA SWAGGA

                                                                       
https://my.notjustok.com/track/170116/young-killer-sinaga-swagga-haijawahikutokeablogspotcom



DOWNLOAD NEW AUDIO: DULLY SYKES - YONO

                                                                             
https://my.notjustok.com/track/170045/haijawahi-kutokea-blog-dully-sykes-yono

Powered by Blogger.